sw.news

Padre Msenge Kwenye Kituo Cha Televisheni Cha Kitaifa

Mnamo tarehe 23 mwezi wa Julai Padre Richard Geoghegan, baba paroko wa Ballyneale, Dayosisi ya Waterford and Lismore, nchini Ireland, aliigiza kwenye kipindi kilichokuwa katika kituo cha televisheni cha kitaifa (RTE 1) kama msenge. Geoghegan alisema kuwa alikuwa na "talanta ya kuigiza kama mtu wa jinsia tofauti" na kuwa anaiga mfano ambao Yesu aliuhubiri kuhusu kutozificha talanta alizopatiwa mtu chini ya debe ila azitumie. Geoghegan ana mkusanyo wa nywele na viatu vya wanawake. Askofu wa Padre Geoghegan ni Monsignor Alphonsus Cullian ambaye ni wa karibu sana na Opus Dei.

Picha: Richard Geoghegan, Irish National TV, #newsMuzsjuqgtp
116