sw.news

Francis Alitaka Barua Iliyopiga Marufuku Ekaristi Kwa Waprotestanti Kuwa "Siri"

Edward Pentin alidhibitisha ripoti kwamba Shirika la Mafundisho ya Imani limetupilia mbali pendekezo la Maaskofu Wajerumani kuwapa Waprotestanti Ekaristi [ingawaje hili ni jambo la kawaida nchini humo].
Aliyempa Pentin habari hizo aliongeza kuhusu suala hili, hakuna "tofauti" kati ya Askofu Mkuu Ladaria na mtangulizi wake Kadinali Gerhard Müller.
Pentin amegubdua kwamba "Papa anaitaka barua [inayopiga marufuku pendekezo hilo] ibaki kuwa siri kwa sababu zisizojulikana".
Picha: © European Parliament, CC BY-NC-ND, #newsNmaxqrapam

202
oarielvillar

Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 2
Familia Ingalls - Temporada 1 - Episodio Piloto Parte 2

49:53
elfu 47
Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

+54 2344476927 ameshirikisha hii

Me Encanta este capítulo.

sw.cartoon

Sinodi La Amazon: Bikra Maria Alimwambia Mtakatifu Bridget Kwamba Papa Atakayetupilia Mbali useja, Ataenda Jahanamu.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsDgykwtpshg

116

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa.
Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi

31
HP Y GC

Chapelet au Karmel

25:51
21
sw.news

Kashfa Mpya Huko Vatikani

Naibu Mkurugenzi mkuu katika benki la Vatikani, Giulio Mattietti, alifutwa kazi manmo tarehe 27 mwezi Novemba na hata kusindikizwa nje ya Vatikani.
Hakuna sababu zilizotolewa kuhusiana na hatua hizi kali. Mwajiriwa mwingine katika benki hilo alitendewa vivyo hivyo. Mattietti ni daktari wa Fizikia na mwandishi wa programu za kompyuta. Alifanya kazi katika benki hilo tangu mwaka wa 1997.
Vyombo vya habari ambavyo humuunga mkono Francis vilipendekeza kuteuliwa kwake kuwa naibu mkurugenzi mkuu mnamo mwezi Novemba mwaka wa 2015 "kama suluhu la ndani ili kulizindua upya benki hilo."
Picha: © Jeffrey Bruno, Aleteia, CC BY-SA, #newsOuigznldei

74
oarielvillar

Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson.
Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson

49:37
1elfu 15
Lila San Car

Cómo le puede gustar el caitudo a Laura! Para gustos los colores!!! .🤪😍💜💙💚🖤♥️💛🧡❤️.. jajajaja! ....porque no le das un buen bofetón!!! jajajaja!!!!pobre Laura! 💔, El chico gusta de Mary!!!!

Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

sw.cartoon

Kutokuwepo Kwa Kadinali Pell Ni Mojawapo Wa Sababu Ya Kufeli Kwa Marekebisho Ya Vatikani.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsAqeenwygww

124
Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DW5AYUrjByE/
David Icke

05:02
8
RAFAEL MEDINA MEDINA

Muujiza wa Ekaristi uliotokea wakati wa Misa iliyoadhimishwa na Askofu Claudio Gatti, huko Roma, Italia

Kurasa 6
93
sw.news

Christopher Ferrara Ahitilafiana Na Kardinali Muller

Mnamo Juni 1, msemaji Mmarekani ambaye pia ni wakili, Christopher Ferrara alitoa maoni kuhusu madai yake Kardinali Muller ya hivi maajuzi kwenye kituo cha EWTN, kuwa "ni jambo lisilowezekana kamwe kuwa Papa, kama mridhi wa Mtakatifu Petero, msaidizi mkuu wa Yesu Kristu Kanisani ulimwenguni kote, kuwasilisha mafundisho yanayopinga wazi wazi maneno ya Yesu."
Ferrara anapinga kuwa sio jambo lisilowezekana Papa kufunza makosa kwani Papa si mtu asiye na makosa kikamilifu na huenda akaanguka vishawishini vya uzushi wa kibinafsi. Anatoa mifano ya kihistoria kama vile Papa Yohana wa 22 aliyesisitiza kuwa Wabarikiwa ambao waliaga huwa hawamwoni Mungu hadi nyakati za mwisho.
Ferrara anamalizia, "Inatosha kusema kuwa Upapa wa Bergoglian ni onyesho kuu na la kipekee kihistoria la mipaka mikali ya Papa kutokuwa na makosa, ambayo hapa hupitwa karibu kila siku."
Picha: © Jeffrey Bruno, Aleteia, CC BY-SA, #newsNgreraayaq

86
oarielvillar

Familia Ingalls T01C11 El Mapache.
Familia Ingalls T01C11 El Mapache

46:06
elfu 39
Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

renealan ameshirikisha hii

Fam. Ingalls.
series del recuerdo

carlos padila

NUEVA MISA CVII - MALACHI

146
Denis Efimov

Así es.

Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DWvm20SDMsR/
David Icke

02:35
12
sw.news

Kardinali Kasper: Ni Lazima Kanisa La Kikatoliki Liwe la Kiprotestanti

Kardinali mzingatifu Walter Kasper, mshauri wa karibu wa Papa Francis, limeandika jarida la L'Osservatore Romano, kuwa "mfumo wa kiekumeni unafaa kuundwa chini ya masharti yafuatayo: Ukatoliki wa Kiinjili na Katoliki ya Kiprotestanti," Kulingana na yeye Waprotetanti na Wakatoliki wote ni wana wa "mwili ulio mmoja na wa kipekee wa Kristu, ambao ndio Kanisa." Kasper anamaliza kwa kusema, "Iwapo hatutaki Makanisa yapungue hata zaidi, tunafaa kulenga kiini." Hakuweka bayana alichokiita "kiini".
Ujuzi unaonyesha kuwa, mapendekezo ya Kasper ni maagizo ya mashirika ambayo yanadidimia ama ya walio na umri mkubwa sana.
Picha: Walter Kasper, © Mazur/catholicchurch.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsSdsrsnkzln

77
Guntherus de Thuringia

Qu.

05:26
22
noi_cattolici

Dr. Barbara Balanzoni

20:00
67